News and Events

MASHINDANO YA GOFU YA TFS LUGALO OPEN KUFANYIKA JUNI 18 DAR

Na Luckresia Assenga Mashindano ya wazi ya mchezo wa gofu nchini, TFS Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Juni 18 na 19, 2022 katika Viwanja vya gofu vilivyopo Lugalo jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi…

Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua zoezi la upandaji wa miti katika Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma, Juni 1, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodom

Waziri Mkuu ataka upandaji miti mji wa Serikali kukamilika

Dodoma. Katika kukamilisha azma ya Serikali ya Dodoma ya kijani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo ya ukamilishwaji wa zoezi la upandaji miti katika Mji wa Serikali Mtumba ili kuufanya mji huo kuwa…

Read More

Serikali yazindua mwongozo wa kutumia makundi ya nyuki kwenye huduma za uchavushaji

Katavi. Serikali imezindua mwongozo wa namna ya kutumia makundi ya nyuki kwenye huduma za uchavushaji wa mimea na mazao shambani utakaowasaidia wakulima na wafugaji nyuki nchini kupata…

Read More

KILELE CHA SIKU YA NYUKI DUNIANI, TFS SAFI!

WAZIRI mkuu mstaafu Mizengo Pinda ameupongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS kwa kazi kubwa inayofanya kuhamasisha ufugaji wa nyuki na na kuwawezesha wananchi ili waweze kujiongezea uchumi…

Read More

SERIKALI YAZINDUA KAMPENI YA UTUNDIKAJI WA MIZINGA KATAVI

Katika kuazimisha Siku ya Nyuki Duniani Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS imezindua kampeni ya utundikaji wa mizinga ya nyuki katika Msitu wa…

Read More

FILAMU YA THE ROYAL TOUR HAINA MAANA TUKISHINDWA KULINDA VIVUTIO VYA UTALII - NKM MALIASILI

KATAVI: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Suleiman Mkomi amewataka Maafisa na Askari wa Uhifadhi waliohitimu mafunzo ya kijeshi kuhakikisha wanalinda vivutio vya utalii vilivyopo…

Read More

SHIGELA: TFS KINARA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS imepongezwa kwa jitihada kubwa inayofanya katika kuhakikisha kuna usimamizi endelevu wa rasilimali za kitaifa za misitu na nyuki ili kuchangia mahitaji ya kijamii,…

Read More