News and Events

WAZIRI MALIASILI AHIMIZA UHIFADHI WA MISITU NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (pichani juu) akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kumaliza kuzunguka na kujionea huduma zinazotolewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…

Read More
WAZIRI wa Maliasili na Utalii MHE. Balozi Dk. Pindi Chana (wa pili kulia) NA mkuu wa wilaya ya Ludewa Mhe. Andrea Tsere (Wa kwanza kulia) Wakimkabidhi mzinga WA NYUKI Mkuu wa Gereza LA  Ludewa, Mrakibu wa Magereza Johaness Baitange (wa kwanza kushoto).

WAZIRI MALIASILI AKABIDHI MIZINGA YA NYUKI 300 KWA WADAU LUDEWA

Ikiwa ni siku chache tangu Jeshi la Magereza nchini kutangaza mpango wa kuanza kuwalipa wafungwa ili wakitoka gerezani waweze kujikimu kiuchumi. Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana…

Read More

Kamishna wa Uhifadhi TFS atoa wito kwa wataalamu wa sekta ya misitu Barani Afrika

Dar es Salaam; Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS Prof. Dos Santos Silayo ametoa wito kwa wataalamu wa sekta ya misitu Barani Afrika kufanya tafiti na kuzichapisha kwenye machapisho…

Read More

WAHIFADHI WASTAAFU WAAGWA, WALIOBAKI WAASWA KUPENDANA

Dar es Salaam; Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prisca Lwangili amewaasa wahifadhi wa misitu nchini kujenga umoja, mshikamano na kupendana kazini ili waje kuwa…

Read More

MASHINDANO YA GOFU YA TFS LUGALO OPEN KUFANYIKA JUNI 18 DAR

Na Luckresia Assenga Mashindano ya wazi ya mchezo wa gofu nchini, TFS Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Juni 18 na 19, 2022 katika Viwanja vya gofu vilivyopo Lugalo jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi…

Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua zoezi la upandaji wa miti katika Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma, Juni 1, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodom

Waziri Mkuu ataka upandaji miti mji wa Serikali kukamilika

Dodoma. Katika kukamilisha azma ya Serikali ya Dodoma ya kijani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo ya ukamilishwaji wa zoezi la upandaji miti katika Mji wa Serikali Mtumba ili kuufanya mji huo kuwa…

Read More

Serikali yazindua mwongozo wa kutumia makundi ya nyuki kwenye huduma za uchavushaji

Katavi. Serikali imezindua mwongozo wa namna ya kutumia makundi ya nyuki kwenye huduma za uchavushaji wa mimea na mazao shambani utakaowasaidia wakulima na wafugaji nyuki nchini kupata…

Read More