News and Events

Wizara ya maliasili na utalii yazindua namba za kijeshi za magari, mitambo na vyombo vingine

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imezindua rasmi namba za kijeshi zitakazotumika katika magari, mitambo na vyombo vingine vya moto vya Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori na Misitu Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi…

Read More

Tutailinda Misitu angani na ardhini – Prof. Silayo

Dodoma: Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo amesema usimamizi na ulinzi wa rasilimali za misitu utafanyika kutokea ardhini na ikilazimu angani, ili kuhakikisha…

Read More

NAIBU WAZIRI MALIASILI AHIMIZA UHIFADHI WA MISITU

Mwanza: Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii Mhe. Mary Masanja ametoa rai kwa viongozi wa Kanda ya Ziwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto za uhifadhi wa mazingira hususan katika mkoa wa Mwanza na…

Read More

Halmashauri ya Wilaya Ikungi kukabidhi misitu yake TFS

IKUNGI, SINGIDA:  Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi inatarajiwa kukabidhi misitu mitatu kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ili kuepukana na migongano ya kiutendaji na usimamizi unaosababisha kulegalega…

Read More

MITI YA MISAJI KUIINGIZIA SERIKALI SHILINGI 2.9 BILIONI

MUHEZA – TANGA: Serikali inatarajia kukusanya jumla ya shilingi 2,933,266,522.26 za kitanzania baada ya kuuza jumla ya meta za ujazo 4,465.735 m3 za miti ya misaji katika Shamba ya Miti Mtibwa…

Read More

TFS YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA KWA SHULE ZA MSINGI MBILI

Tunduma – Songwe: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umekabidhi Kompyuta 34 na Meza 20 na viti 40 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40 kwa shule…

Read More