UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWENYE MISITU YA HIFADHI YA KWANI NA TONGWE-MUHEZA NA HIFADHI YA NILO

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)-Kanda ya Kaskazini unatarajia kuuza miti aina ya Misaji  (tectona grandis (teak) yenye jumla ya meta za ujazo 1,600.883  iliyopo katika mipaka ya Misitu ya Hifadhi…

Read More

MABADILIKO YA TAREHE YA KUUZA MAGOGO YA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA BANDARI YA NCHI KAVU

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza magogo vipande 18,489 ya mti wa Mkurungu (Pterocarpus Tinctorius) yenye jumla ya meta za ujazo 1,357.026 iliyopo katika eneo la Bandari…

Read More

MABADILIKO YA TAREHE ZA KUUZA WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA KATIKA SHAMBA LA MITI MTIBWA NA LO

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 11,270.847 iliyopo katika mashamba ya miti Mtibwa Mkoani Morogoro na Longuza Mkoani Tanga. Jumla ya…

Read More

RE-ADVERTISEMENT OF SALES OF STANDING TEAK TREES BY AUCTION AT MTIBWA AND LONGUZA FOREST PLANTATION

Tanzania Forest Services Agency (TFS) intends to sale standing teak trees with a total volume of 11,270.847 m3 grown at Mtibwa in Turiani, Morogoro Region and Longuza in Muheza, Tanga Region.…

Read More
PICHANI NI MAGOGO YA MTI AINA YA MISAJI HAYANA UHUSIANO NA MAGOGO YANAYOKWENDA KUUZWA

UUZAJI WA MAGOGO YA MTI WA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA ENEO LA BANDARI YA NCHI KAVU – UBUNGO,

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza magogo vipande 18,489 ya mti wa Mkurungu (Pterocarpus Tinctorius) yenye jumla ya meta za ujazo 1,357.026 iliyopo katika eneo la Bandari ya Nchi Kavu – Ubungo,…

Read More
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akichana mfuko uliowekewa mche wa mti kabla ya kuupanda , leo Machi 6,2021 katika eneo la nje ya geti la Hifadhi ya Msitu Asilia wa Pugu Kazimzumbwi uliopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani.

WANANCHI WAPEWA WITO KUWEKEZA KWENYE MISITU WA PUGU KAZIMZUMBWI

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetoa mwito kwa wananchi, wadau na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika misitu ya Serikali ambayo imehifadhiwa na TFS ukiwemo Msitu wa Hifadhi ya…

Read More
Kulia ni Katibu Mkuu @wizarayamaliasilinautalii Dkt. Alloyce Nzuki akijadiliana namna gani Utalii na uwekezaji wilayani hapo unaweza kufanikiwa kwa kutumia fursa za uwepo wa Msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @jokatemwegelo kwen

KISARAWE USHOROBA FESTIVAL KUWEKWA KWENYE KARENDA YA MATUKIO YA UTALII YA MWAKA

KUMEKUCHA Kisarawe! Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo kuzindua rasmi Kisarawe Ushoroba Festival huku akiwataka wadau kuchangamkia…

Read More