Habari

Tanzania to host World Congress of Beekeepers,2027

Tanzania has been selected to host the World Congress of Beekeepers which is expected to be on the 20th to 25th September 2027.   This was revealed on Friday night in Chile where the congress is taking place…

Soma Zaidi

Tangazo la Mnada wa Miti laini na Migumu 20 Juni,2023

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza  miti laini na migumu katika mashamba 11 ya miti ya kupanda yanayomilikiwa na Serikali kwa msimu wa uvunaji wa mwaka wa fedha 2023/2024. Tathmini iliyofanyika…

Soma Zaidi

TFS KUJA NA MUONGOZO WA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA NYUKI

Dar es Salaam: Katika kuhakikisha mazao ya nyuki yanayozalishwa nchini yanaendelea kuwa na viwango vya ubora vinavyohitajika katika masoko ya kimataifa, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za…

Soma Zaidi

TFS YAPEWA TUZO YA MAZINGIRA 2023

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umepewa tuzo rasmi ya taasisi bora ya Serikali katika kuhakikisha zoezi la upandaji miti na utunzaji mazingira linakuwa endelevu mwaka 2023. Tulizo Kilaga anaripoti.…

Soma Zaidi

Tangazo la Mnada wa Miti ya Misaji Kielektroniki

Tangazo la mnada wa hadhara wa uuzaji wa miti ya misaji kwa njia ya kielektroniki

Soma Zaidi