Maswali Na Majibu

Mwongozo wa Uvunaji Katika Misitu ya Vijiji

Mwongozo wa Uvunaji Katika Misitu ya Hifadhi ya Vijiji Chini ya Sheria ya Misitu ya Mwaka 2002, jamii inaweza kulinda, kuhifadhi, kusimamia na kutumia kiundelevu misitu katika ardhi ya kijiji ili kukidhi mahitaji…

Soma Zaidi

Mwongozo wa Uvunaji wa Mazao ya Misitu

Mwongozo wa Uvunaji Endelevu na Biashara ya Mazao ya Misitu yanayovunwa katika Misitu ya asili unatokana na Sera ya Taifa ya Misitu ya mwaka 1998 na Sheria ya Misitu Sura 323 ya mwaka 2002, pamoja na Matangazo ya…

Soma Zaidi
Vinyago

Biashara ya Vinyago

Vinyago ni moja ya biashara zinazochangia ukuaji wa sekta ya utalii nchini na hata kutangaza utamaduni wa Tanzania kitaifa na kimataifa. Ni biashara inasaidia kuzalisha ajira, kuendeleza teknolojia ya uchongaji,…

Soma Zaidi

Ufugaji Nyuki kwa Njia ya Kisasa

Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogo wadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogo wadogo, wanaotumia njia za kiasili kama vile…

Soma Zaidi