SERIKALI YAZIDI KUBORESHA JESHI LA UHIFADHI: DKT. ABBAS AAGIZA MIRADI YA JESHI HILO KUKAMILIKA NDANI YA SIKU 90
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuliboresha Jeshi la Uhifadhi kwa kuliwezesha kifedha, kiutawala na kitaaluma, ili kulinda rasilimali…