Serikali Yatoa Wito kwa Wahifadhi Kuongeza Juhudi Katika Kukuza Utalii
Arusha, Desemba 2, 2024 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayesimamia utalii, Nkoba E. Mabula, ameendelea kutoa wito kwa wahifadhi na wadau wa utalii nchini kuongeza juhudi katika kukuza na kutangaza vivutio vya utalii vya…