Tanzania yashiriki Warsha ya Urejesho wa Uoto wa Asili: Achieving AFR100 with Forest and Farm Producers Programme
Rome, Italia; Tanzania inashiriki katika warsha ya wiki moja ya urejeshaji wa Uoto wa Asiki inayofanyika makao makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) jijini Rome, Italia.Warsha hio ilioanza Januari 09, 2025 inalenga…