West Kili Forest Tour Challenge 2025 Yazinduliwa Rasmi Siha: Lengo Ni Kuinua Utalii Endelevu na Uchumi wa Kijani
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, leo amezindua rasmi msimu wa tano wa West Kili Forest Tour Challenge 2025, tukio kubwa la utalii na uhifadhi linalotarajiwa kufanyika tarehe 21 hadi 22 Juni mwaka huu katika misitu ya West…