Dk Mpango awapa maagizo Ma-RC kupambana na ukame
Mbeya. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango, amesema namna ya kulinda na kutunza vyanzo vya maji ni ushirikiano wa Serikali, wadau na wananchi huku akiwataka wakuu wa mikoa nchini (RC) kusimamia, kutunza na kuhifadhi vyanzo hivyo ili…