Prof. Silayo, Dk. Anders wakutana AFWC25, watoa wito wa kuimarisha uzalishaji wa mbegu bora barani Afrika
BANJUL, Gambia — Mazungumzo ya kina kati ya Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo na Dk. Anders Pedersen, mtaalamu maarufu wa jenetiki ya miti na mmoja wa waanzilishi wa Tanzania Tree Seed…