ZANZIBAR YAPONGEZA MAPINDUZI YA TFS MANYONI SEKTA YA NYUKI
Uzalishaji wa asali waruka mara tatu kwa miaka mitatuManyoni: Mkurugenzi wa Idara ya Misitu Zanzibar, Said Juma Ali, ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wilayani Manyoni kwa kuimarisha usimamizi wa shughuli za ufugaji nyuki, hatua…