WATAALAM IDARA YA MISITU ZANZIBAR WAWASILI MANYONI KUONGEZA WELEDI SHUGHULI ZA UFUGAJI NYUKI
MANYONI, 12 Februari 2026 — Askari wa Uhifadhi - Ufugaji Nyuki Wilaya ya Manyoni, Jacline Leshabari, akiwasilisha mada kuhusu uanzishaji na usimamizi bora wa hifadhi za nyuki kwa wataalamu kutoka Idara ya Misitu Zanzibar. Mafunzo hayo yamelenga…