TFS YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KATIKA VIVUTIO VTA UTALII WA MISITU
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeeleza mikakati na fursa mbalimbali za uwekezaji na utalii wa misitu, huku ukizindua aina mpya ya vivutio ikiwemo usafiri wa waya (zipline) katika Ziwa Duluti, ikiwa ni sehemu ya kuongeza mazao na shughuli…