SEMINA ELEKEZI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
Pichani ni viongozi na watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), wakiwemo maafisa na askari kutoka Makao Makuu na Kanda ya Kati, Dodoma, wakiongozwa na Naibu Kamishna wa Uhifadhi, DCC Emmanuel Wilfred Kiboko, wakishiriki semina elekezi…