NI SAO HILL MISITU SPORTS BONANZA 2026: MAPAMBANO YA UBINGWA KUANZA RASMI
Na Mwandishi Wetu – IringaHamu ya mashindano imeanza kupanda katika Shamba la Miti Sao Hill, wilayani Mufindi, baada ya Wahifadhi wa Tarafa zote nne kupokea vifaa mbalimbali vya michezo, ikiwa ni ishara rasmi ya maandalizi ya kuanza kwa Sao Hill…