NAIBU WAZIRIWA MALIASILI MHE.CHANDE AONGOZA HAFLA YA UTOAJI TUZO TAFORI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb.), ameongoza hafla ya utoaji wa Tuzo na Zawadi za Heshima zilizoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kupitia Menejimenti ya Utumishi, kwa ajili ya kutambua na…