MHIFADHI MKUU WINO AWATAKA WATUMISHI KUSIMAMA IMARA KUTIMIZA MAELNGO YA TAASISI
Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Wino, SCO Glory Kasmir, amewataka watumishi wa shamba hilo kusimama imara na kutekeleza majukumu yao kwa weledi na uwajibikaji ili kuhakikisha vipaumbele na malengo ya taasisi yanafikiwa kwa ufanisi.Kasmir ametoa wito…