MAWAZIRI WATATU WAKUTANA NA WANANCHI KUSHUGHULIKIA MGOGORO WA MIPAKA PUGU
DAR ES SALAAM. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Profesa Riziki Shemdoe, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo na Naibu Waziri wa Maliasili na…