KKKT Masasi na TFS Wazindua Kampeni ya Upandaji Miti Kuelekea Siku ya Misitu Duniani
Masasi, 16 Machi 2025 – Ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikiana na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Wilaya…