JESHI LA UHIFADHI LATAMBA KONGAMANO LA UNUNUZI WA UMMA ARUSHA
Jeshi la Uhifadhi chini ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) limetumia vyema fursa ya kongamano la tisa la ununuzi wa umma linaloendelea jijini Arusha kwa kuonyesha namna linavyochangia maendeleo ya taifa kupitia usimamizi wa rasilimali za…