BAJETI YA TFS 2026/2027 YALENGA KUENDELEZA MIRADI
Morogoro. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetangaza mkakati mkali wa kusimamia matumizi ya fedha na kukamilisha miradi iliyochelewa, katika bajeti yake ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 itakayotekelezwa chini ya Mpango Mkakati mpya wa nne wa…