WAZIRI MAKONDA: SERENGERTI RALLY OF TANZANIA 2026 ELIMU TOSHA KUHUSU UMUHIMU WA UHIFADHI
MOROGORO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amesema michezo inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuhifadhi misitu na mazingira, akisema watu huwa na uelewa zaidi wanapoweza…