WAHIFADHI WA JESHI LA UHIFADHI TFS WAPANDISHWA VYEO
JESHI la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) limewapandisha vyeo askari 60 na maafisa 30 wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, katika hatua inayolenga kuimarisha nidhamu, kuongeza morali kazini na kulinda rasilimali za misitu na nyuki…