VIONGOZI MUFINDI WAKUMBUSHWA KUIMARISHA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MOTO WA MISITU
Na Mwandishi wetu - IringaWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Shamba la Miti Sao Hill kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, wamewakutanisha wadau mbalimbali Wilayani Mufindi tarehe 24 Septemba,2026 katika kikao maalum…