UBORA WA MAZAO YA NYUKI WAMVUTIA MBUNGE BHUTAN
Na Mwandishi Wetu, ArushaARUSHA: Mbunge wa Bunge la Bhutan, Tashi Tenzin, amepongeza ubora wa mazao ya nyuki yanayoonyeshwa katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU 153), unaofanyika…