TIMU YA TFS YATINGA ROBO FAINALI MASHINDANO YA SHIMMUTA
Morogoro, Novemba 16, 2026 – Timu ya mpira wa pete ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano ya SHIMMUTA baada ya kuichapa timu ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa magoli…