TFS YAWEKA MKAKATI KUKOMESHA BIASHARA HARAMU ZA MAZAO YA MISITU
Na Mwandishi Wetu – IringaWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, umeweka mikakati ya kuimarisha doria na udhibiti wa vituo vya ukaguzi ili kukomesha uharibifu wa misitu, uvunaji, usafirishaji na biashara haramu…