TFS YATWAA MEDALI TISA, YAONGOZA RIADHA SHIMMUTA 2026
Na Mwandishi Wetu, MorogoroWAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeibuka kinara katika mchezo wa riadha kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2026 baada ya wanariadha wake kutwaa jumla ya medali tisa, zikiwemo nafasi za kwanza katika mbio za mtu mmoja…