TFS YATUNUKIWA NA TUZO YA KAMPENI BORA YA UPANDAJI MITI NCHINI
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetunukiwa Tuzo ya Kampeni Bora ya Upandaji Miti kwa mwaka 2025, kutokana na mchango wake mkubwa katika kuhamasisha wananchi na taasisi mbalimbali kushiriki upandaji miti, kusambaza miche na kuelimisha umma…