TFS YASHIRIKI USAFI, UPANDAJI MITI WORLD CLEANUP DAY KONDOA
Na Mwandishi Wetu – KondoaWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeungana na wananchi, wanafunzi na wadau wa mazingira katika zoezi la usafi na upandaji miti lililofanyika katika Shule ya Sekondari Bicha, Wilaya ya Kondoa, Dodoma, ikiwa ni…