TFS YASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Jeshi la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) limeshiriki katika mazoezi ya pamoja ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini, yaliyolenga kuimarisha ushirikiano, utayari na uwezo wa taasisi katika kutekeleza majukumu yake kwa…