TFS YAKABIDHI MADAWATI 50 SHULE YA MAZINYUNGU
KILOSA. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Kanda ya Mashariki, umekabidhi madawati 50 yenye thamani ya Sh milioni 12 kwa Shule ya Msingi Mazinyungu wilayani Kilosa, Morogoro, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kurejesha kwa jamii inayoshiriki…