TFS YAIMARISHA UPATIKANAJI WA MBEGU BORA ZA MITI
Mwandishi Wetu – IringaWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wahifadhi wa misitu katika ukusanyaji wa mbegu bora za miti, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa mbegu zenye ubora kwa ajili ya uzalishaji…