TFS YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA, WATUMISHI 148 WAPATIWA ELIMU
DODOMA | 03 Novemba 2026Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), CC Prof. Dos Santos Silayo, amewataka maafisa na askari wa Wakala huo kuwa mabalozi wa kuzuia na kupambana na rushwa, kuzingatia uongozi bora na kusimamia…