TFS YAELIMISHA WANANCHI FURSA NA BIASHARA YA MAZAO YA MISITU
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Shamba la Miti Sao Hill na TFS Kanda ya Nyanda za Juu Kusini unaendelea kushiriki katika Mufindi Investment Forum & Expo 2026, inayofanyika katika Viwanja vya Wambi, Mafinga, Wilaya ya Mufindi,…