News and Events

TFS SAO HILL YAONGEZEWA NGUVU KAZI

Na Mwandishi Wetu, IringaIRINGA: Shamba la Miti Sao Hill limepokea watumishi wapya 18 katika kada mbalimbali, hatua inayolenga kuimarisha nguvu kazi na kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa majukumu katika maeneo mbalimbali ya shamba hilo.Akizungumza…