TFS KUIMARISHA USIMAMIZI WA MISITU KWA TEKNOLOJIA, WAHIFADHI 40 KUPATIWA MAFUNZO
Na Mwandishi WetuWahifadhi 40 kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wanatarajia kupatiwa mafunzo ya matumizi ya teknolojia za kisasa katika usimamizi wa misitu, hususan ufuatiliaji, utambuzi na udhibiti wa moto katika hifadhi.Mafunzo hayo…