TFS KUIMARISHA UDHIBITI WA MALIASILI ZINAZOSAFIRISHWA KWA MAKONTENA
Na Mwandishi WetuWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuimarisha mifumo ya usimamizi na udhibiti wa maliasili kufuatia mafunzo ya kikanda yaliyolenga kukabiliana na biashara haramu ya maliasili kupitia usafirishaji wa mizigo kwa…