TANZANIA YAONESHA MAFANIKIO YA UFUGAJI NYUKI KATIKA UHIFADHI WA MISITU COP31
Antalya, Uturuki – Novemba 9, 2026Tanzania imewasilisha mafanikio ya kutumia ufugaji nyuki endelevu, upandaji miti na matumizi ya nishati safi katika kuhifadhi misitu ya maeneo kame na kuboresha maisha ya wananchi, katika Mkutano wa 31 wa Nchi…