SIHA YAITAMBULISHA TFS KAMA MFANO WA KUIGWA KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA
SIHA. Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Dkt. Christopher Timbuka, amesema mafanikio ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) yanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jitihada za kitaifa za uhifadhi wa mazingira, hasa katika kipindi ambacho…