SAO HILL YAKAGUA UTEKELEZAJI WA KAZI ROBO YA TATU
Iringa, Machi 13, 2026 — Shamba la Miti Sao Hill linalosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) limefanya ukaguzi wa utekelezaji wa kazi kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026, hatua inayolenga kufuatilia utekelezaji wa mpango…