RC AONGOZA UPANDAJI MITILINDI, AONYA HATARI YA JANGWA
Asisitiza upandaji miti si hiari bali ni wajibu wa kila mwananchi kulinda chakula, mvua na uhai wa binadamuNa Mwandishi Wetu, LindiMkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe Zainabu Telack, ameongoza wananchi kushiriki zoezi la upandaji miti huku akionya vikali juu…