PANZI MWENYE RANGI YA BENDERA YA TAIFA KIVUTIO MAONESHO YA UTALII
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamDAR ES SALAAM. Panzi mwenye rangi zinazofanana na bendera ya Taifa amekuwa kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea banda la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Maonesho ya Utalii yanayofanyika Kijiji cha…