PAC YARIDHIA TFS, YATOA MAAGIZO KUIMARISHA UHIFADHI NA UWAJIBIKAJI
DODOMA: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeelekeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuimarisha usimamizi wa rasilimali za misitu, ufuatiliaji wa mikataba na utekelezaji wa miradi ya maendeleo, huku Wizara ya Maliasili…