NAPURU WATERFALLS YATWAA TUZO YA UTALII WA IKOLOJIA AFRIKA MASHARIKI
Dar es SalaamKivutio cha Maporomoko ya Maji ya Napuru, kilichopo katika Shamba la Miti Meru jijini Arusha, kinachosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kimetwaa tuzo ya ubora katika vivutio vya asili na utalii wa maporomoko ya maji…