MIKOKO YAPEWA KIPAUMBELE KITAIFA
Waziri: Hekta 158,000 za hifadhi zilindwe, ziwe ngao ya mabadiliko ya tabianchiNa Mwandishi Wetu, LindiWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe Dkt. Ashatu Kijaji, amezindua kwa vitendo kampeni ya kitaifa ya upandaji miti kwa kupanda mikoko 1,020 katika…