MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMAPENI YA UPANDAJI MITI KITAIFA,MISITU YATAJWA NGUZO YA UCHUMI
Na Mwandishi Wetu, LindiMAKAMU wa Rais, Mhe Emmanuel Nchimbi, amezindua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya Upandaji Miti Kitaifa 2026, akionya kuwa kasi ya upotevu wa misitu nchini imefikia hekta 460,400 kwa mwaka na kuwataka…