KAMATI YA MISITU DUNIANI YASISITIZA UWEKEZAJI, TEKNOLOJIA UHIFADHI MISITU
Na Mwandishi Wetu – Roma, ItaliaKamati ya Misitu Duniani (COFO) imesisitiza kuimarishwa kwa uwekezaji wa kitaalamu na kifedha katika uhifadhi na uendelezaji wa misitu, ikiwemo kutumia teknolojia za kisasa kukabiliana na changamoto za moto,…